Tuesday, November 30, 2010

Hendrick.Lilanga Dreams: Baadhi ya Vyombo vya habari Tanzania ndio maadui w...

Hendrick.Lilanga Dreams: Baadhi ya Vyombo vya habari Tanzania ndio maadui w...: "Baadhi ya Vyombo vya habari Tanzania ndio maadui wakubwa wanao waangamiza Wasanii kisanaa. Tarehe 29/11/2010 kuna radio moja wapo ma..."
Baadhi ya Vyombo vya habari Tanzania ndio maadui wakubwa wanao waangamiza Wasanii kisanaa.        Tarehe 29/11/2010  kuna radio moja wapo maharufu sana hapa Tanzania hurusha kipindi cha Jahazi  niliwasikia wakishabikia uhuzwaji wa Nyumba ya Sanaa yakua  ni sahihi kwani hata wao pia eti hawaoni sanaa yoyote hapo nyumba ya sanaa!   na nibora ivunjwe na pajengwe Ghorofa  kwani sasa sanaa hakuna chochote na si mali kitu!    Inasikitisha sana kuona baadhi ya Media  wanashabikia jambo wasilolijua na kudhani yakua ghorofa ni kitu cha maana sana kuliko sanaa yetu, utambulisho wetu na fahari yetu sasa na hata kizazi na kizazi.  Nyumba ya sanaa ilikua inawapeleka wanafunzi nchi za nje kujifunza sanaa iweje leo si chochote miongoni mwetu?  jengo lenyewe pekee ni sanaa tosha,  je? ni Sanaa ipi mnayoitaka ionekane pale?  nduguzangu tujaribu kuongea ya msingi, ya kujenga na si kubomoa kila kitu hata kama bado ni cha msingi, inashangaza!!!  Nawaomba wana habari wachunguze kwanza kabla hawajaropoka ropoka hewani na kujiona wao ndio mwisho wa mambo yote, mnatutia aibu sana mbele ya jamii na hata kimataifa.  Michoro iliyoizunguka nyumba ya sanaa ni ya mkongwe George Lilanga!  MTAFUTENIN KWENYE GOOGLE mtaona shujaa aliye wapigania mbaki kwenye ramani ya sanaa na leo hii hamuoni sanaa yoyote katika jengo lile!  Acheni siasa nduguzangu tufanye kazi iwe kazi na wala isiwe mradi kazi. Poleni sana kama imewaudhi na kwheri    

Sunday, November 21, 2010

GEORGE LILANGA HISTORY BOOK IS COMING SOON!              I want to conclude a long debate  about George Lilanga life,not only to tell the whole world a really birth place of George Lilanga but also a really origin clain of him,news of George Lilanga when he was a boy,and his early age of his younghood and before to be a famous amoung the people through artlife in the world. Iwant to give people what they want to know about George Lilanga,Iwant to give people a true answer,and iwant to show people every things openly.  Many people some time they show to disagree about George Lilanga birth place at Kikwetu in lindi region south east of Tanzania,because after their investigation they found no any evidence  of George Lilanga infomation at Kikwetu, Ithink in another way they failed to tolerate a really situation which they faced there, but my book is coming to make every things in correct answer.     Due to the unavoidable reasons some time George Lilanga hides his really birth place because his past life faced many challenges,difficulties,and many enemies. no one can blame him if she/he can read a book which is coming soo may be at the end of next year.  His secret was also a secret of few clain members it was like an oath,no one was allowed to say it publicly, In additional iwant to say ''sory'' on the behalf of my grandfather George Lilanga,to all art lovers,his friends,and all interviewer who made interview with him,other they published books through the interview which they made with him, all a say again ''sory''  Iknow many people bought many books in expensive prise, but lets say together, ''It was a part of George Lilanga life of wickness'' because no one is perfect in life,and every one have a right to keep his life secret according to his reasons.   Lastly i want to say that im so careful in all steps of this book preparation,in order to avoide further misunderstanding about George Lilanga history in future,also in this book which coming i want to answer all difficulty questions before to be asked by any one in the world, Ipromise the audience a perfect history of George Lilanga,because i have fully confidence and enough evidence.      Thanks.

Saturday, November 20, 2010

The Warrior from 1934 up 2005!!!    So,  in short  Mr. George Lilanga Senior,  he was a warrior before to be a warrior!  and  he was an Artist before to be an Artist,  then he will be my warrior forever and so on.     Do you want to know him in deep?  just wait!  perharps nex year you should see it.