Tuesday, September 28, 2010

Habari nduguzangu na Mrafiki pia.  Napenda kuwashukuru wote wale wapenzi wa kazi zangu za mikono ( Sanaa ) Kwa hushirikiano wenu kwangu ukizingatia msanii wa Dunia ya tatu,  kwakusema hivyo! naomba  mawzo yenu juu ya hii Blog yangu istawi kama maua mazuri ndani ya Garden ya kupendeza,  kwani ndio kwanza naanza kua na blog yangu kama inavyoonekana,  natambua kua bado inahitaji mengi na kwa mawazo yenu inawezekana.  Salaam wote nahitaji mawazo yenu wadau wangu.

Friday, September 24, 2010

It's looked so nice for looking!  but, kama hamna kitu ndani ni sawa na taka taka.  Walimwengu tusiwe hivyo mfano wa chupa yenye kitu ndani!!! na ikiwa tupu haina tena thamani.  Tafakari Rafiki na kwaheri
This is my Home Workshop at Kigamboni Mjimwema in Dar es salaam Tz,  kama utapenda siku moja kuja kutembelea karibu sana  any time you like but you must Contact me first by my Email adress hendrylilanga@yahoo.com or my Mobile no. +255717221289,  I have many things to show you  kwakua nawapenda sana washabiki wote wa Sanaa popote walipo,  Thanks and your wel come

Wednesday, September 8, 2010