FAMILIA IKIKOSA MSIMAMO WA KUPANGA MAISHA YA MPANGILIO, SHIDA KUBWA HUJA KUMUELEMEA MAMA, SABABU YEYE NDIE HASA MWENYE UCHUNGU WA FAMILIA YAKE WAKATI WOTE. BABA FAMILIA SIKUZOTE HUTAFUTA NJIA YA KUKWEPA MAJUKUMU NA NDIPO VINAPOANZA VISINGIZIO KIBAO ILIMRADI TU KUMUACHIA MAMA FAMILIA MZIGO WA KULEA WATOTO WAKE. TABIA HII SIO NZURI HATA KIDOGO, NAOMBA AKINA BABA TUWASAIDIE MAMA ZETU MAJUKUMU YA KULEA FAMILIA ZETU.
No comments:
Post a Comment