Hendry Lilanga Paint
The size 100cm by 100cm Oil Paint.
Akili moja, mawazo yanayo fanana, ila utendaji kwetu bado ni mgumu sana katika makazi yetu! Kila tuliempelekea haya mawazo yetu waliyakubali, ila mioyoni mwao waliogopa!
Sababu ya kuogopa kwao, Walizoea siku zote tuwe nyuma yao hata kama hawana huwezo huo. Mimi na Manju tumebaki na Vipaji vyetu, na wao wamebaki na Pesa zao. Ama kweli usilolijua ni sawa na usiku wa kiza.
No comments:
Post a Comment