Monday, May 14, 2012
Monday, May 7, 2012
Wednesday, May 2, 2012
Tuesday, May 1, 2012
GEORGE LILANGA WITH HIS FAMILY.
ILIKUA NI WAKATI WA FURAHA, LAKINI SASA NI HUZUNI NA MAJONZI MAKUBWA KWA KUONDOKEWA NA MPENDWA WETU SASA NI MWAKA WA 7 HUU!!! KIKUBWA ALICHOTUACHIA UPENDO UJUZI NA KUTHAMINI KILA TUTAKACHO KIFANYA NDANI YA MIKONO YETU NA KIWE KIMEBARIKIWA NAE HATA KAMA HAYUPO NASI. Kwa niaba ya wote waliopitia kwake kwa ushuri na mengineyo! nathubutu kusema asante Babu G.Lilanga na Mungu akuongoze milele amen.
By Hendrick Lilanga Mjukuu.

Subscribe to:
Posts (Atom)